top of page

Bible Lessons

for

THE CHURCH OF ELOHIM

7th Day

————

4th Quarter

2019

—————

FOR

October, November, December.

To be used with the Bible

—————

Workers are needed, for the harvest

is great, but laborers are few...

—————

Address all orders to P.O. Box 568,

Jerusalem — Israel

 

 

_____________

 

 

Lesson for October 5, 2019

 

THE FALL OF MAN

 

Scripture reading: Isa 59:1-20.

Memory Verse: 1 Cor. 6:9.

 

  1. What is the definition of sin? 1 John 3:4; James 4:17.

  2. What sin caused man to fall from his perfect estate? Gen 3:1-7.

 

Note. The first Commandment broken was the first sin. And the Lord Elohim commanded the man saying: of every tree of the garden thou mayest freely eat: but of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it; for in the day that thou eatest therefore thou shalt die.

 

  1. What became the extent and depravity of sinful man? Eph 2:3; Ps. 51:5; Job 25:4-6.

  2. Did the fall of man cause the entire universe to be depraved? Rom 3:9-12; 1 John 5:19; Isa 64:6.

  3. How was sin discovered by the law? Rom 2:12-15; John 8:9;15:22.

  4. Are sins justified by the law of Elohim? Rom 3:20, 7:7.

 

Note. The punishment of sin is death. “For the wages of sin is death.” Death has passed upon every individual as the ultimate end for sins committed.

 

5. What is the outcome of the fallen man’s life? Psa 119:115; Jer 8:20; 1 Cor 6:9.

6. The fallen man’s understanding becomes darkened (Rom. 1:28), his conscience is seared ( 1 Tim. 4:2, Titus 1:15); he will be enslaved (Jer 13:23;2 Tim 3:13); he will be  in constant fear ( Job 18:11-15).

 

 

Lesson for October 12, 2019

 

AM I MY BROTHER'S KEEPER

 

Scripture reading: 1 Cor. 12:12-26,

Memory verse: Romans 14:19.

 

  1. What was the object of Paul using the human body to illustrate the church? 1 Cor. 12:25

  2. How do we become members of this body and who is eligible? 1 Cor. 12:13, 14.

  3. Can you give other reference to verify your deductions?

  4. What effect can one member have on the body or on the church? Why? 1 Cor. 12:26, 27

  5. The Holy Bible has much to say about offending. Does it have anything to say about offense? Ps. 119:165

  6. Examine the context of our memory verse and see what led Paul to say what he did in Romans 14:19

  7. Why should we be very careful not to offend our brother? Prov. 18:19; 1 Cor. 8:11-13

  8. Who is our brother, sister, or mother? Matt. 12:48-50

 

Lesson for October 19, 2019

 

SIN AND THE REMEDY

 

Scripture reading: Exodus 20:1-21

Memory verse: James 2:10, 11

 

  1. What is sin declared to be? James 2:10, 11.

  2. How were the sins of the people pardoned in ancient time? Lev. 5:14,15, 7:11, 37, 38.

 

Note. The penalty for breaking any one of the Ten Commandments during the Old Testament period was death by stoning. It was not only for Sabbath breaking, but for each one of the commandments. Lev. 24:13-17.

3. In case a person was too poor to afford a lamb, what was substitute? Lev. 5:7.

  1. Why were these innocent lambs slain? To what did this atonement point? John 1:29-34; 1 Peter 1:19.

  2. Was it the Ten Commandment Law that was abolished or was it this old system of pardon that ended? Heb. 10:3-12.

 

Note. When we read of the sufferings of our Saviour on the cross and behold the agony of His crucifixion, we should be impressed in the same way that the children of Israel were when they looked upon the killing of those innocent lambs. It should teach us the horrible consequence of disobeying the Great and the Mighty One who made the world and created us in his own likeness. We should be made to fully understand that the breaking of this law brought about the death of our beloved Lamb and Saviour on the cross, just the same as sin brought the death of those animals back then.

 

  1. How was the long promised Messiah and Saviour to come into the world? Isaiah 7:14.

  2. Was He to be offered as a Lamb for the sins of the people? Isaiah 53:7, 8.

 

Note. The reason many of the Jewish people are still in the dark concerning the coming of the Messiah is  the entire 53rd chapter of Isaiah was omitted from their synagogue reading nearly two thousand years ago by their leaders. However, since the discovery of the Dead Sea scrolls (which contained the chapter). It is considered an authentic part of the Holy writings.

 

Lesson for October 26, 2019

 

THE MIRACLE OF CONVERSION

 

Scripture reading: 2 Cor .5

Memory verse: 2 Cor. 5:17.

 

  1. Since the fall of Adam, how is our coming into this world described? Psa 51:5.

  2. How is the heart described? Jer. 17:9

  3. What illustration show to what depth sin penetrates the heart? Jer. 17:1.

  4. How does the apostle Paul further describe man’s condition? Rom 3:10-18.

 

Note. This is just what Elohim sees of man in his natural condition. A heart like the above cannot do good. If there is to be a change then a miracle must be performed.

  1. How is the impossibility of changing ourselves described? Jer 13:23.

 

  1. How does Elohim through Ezekiel describe the operation that changes a man’s heart? Ezekiel 36:24-26.

  2. After this operation is performed, and the Spirit of Elohim comes in, what effect will it have upon us? Verse 27.

  3. What is the obligation of every sinner, if he must obtain pardon? Prov. 28:13.

  4. How is this principle emphasized in the New Testament? Acts 2:38, 3:19.

  5. What proves the miracle of conversion? Gal. 5:22, 23.

 

Lesson for November 2, 2019

 

SHEPHERDS OF THE FLOCK

 

Scripture reading: 1 Peter 5.

Memory verse: 1 Peter 5:8

 

  1. Who among us are appointed to feed the flock and strengthen them? 1 Peter 5:1-3

 

Note. The fact that some are called Elders indicates that they are not new in the faith and are preferably men with experience.

 

  1. To what are the members likened? 1 Peter 5:2-4.

  2. What special instruction is given to the younger ones? 1 Peter 5:5

  3. If they stumble, will the flock lack any blessings? 1 Peter 5:6, 7

  4. What is our best protection against an attack from the enemy? 1 Peter 5:8

  5. Should ye consider that our afflictions are worse than those of other people? 1 Peter 5:9; 1 Peter 4:12

  6. Should an Elder be treated with due respect? 1 Tim. 5:17

  7. What is a good rule for an Elder to follow, especially in these last days? II Tim. 3:13, 14, 16, 17.

  8. What was the charge that Paul gave Timothy? II Tim. 4:1-5

  9. Must the Elders be ready to minister to the sick at all times? James 5:14, 15.

  10. Whom should they take as their example of patience? James 5:10, 11, 17, 18.

 

Lesson for November 9, 2019

 

THE MESSIANIC’S RACE

 

Scripture reading: Ezekiel 18:24-32

Memory verse: Ezekiel 18:24

 

  1. What infallible promise is made to faithful laborers? Rev. 2:25-27; Matt. 24:13

  2. In the Messianic’s voyage, who is said to be our director? Rev. 14:12; Ecc. 12:13.

  3. In order to be successful in this journey of life, what must one not fail to do? Luke 21:36; Matt. 26:41.

  4. What was the direct reason for King Saul’s downfall? 1 Chron. 10:13, 14

  5. What is the Apostle Paul’s verdict on the subject under discussion? Heb.6:4-6; 10:29

  6. What is peter’s verdict? II Peter 2:20-22

  7. Why were some of the children of Israel unable to enter into Canaan? 1 Cor. 10:1, 5-10

  8. What is said to be the power which will help the believers to triumph? Zech. 4:6; John 14:26 (last part)

  9. What is the factor which has caused many sincere Messianics to fail? 1 Tim. 6:9, 10; 1 John 2:15-16; II Tim. 4:10 (first part).

  10. In order to be successful in this journey of life, what spirit and mind must one possess? Heb. 3:12-15; 4:2, 6, 11.

  11. What was Paul’s counsel to the Messianics? 1 Cor. 9:24-26.

 

Lesson for November 16, 2019

 

THE MESSIANIC’S RACE II

 

Scripture reading: Ezekiel 14:12-20

Memory verse: Gen.19:17

 

  1. What did Yahshuah say about the race of life? Luke 17:34-36

  2. How many of the ‘Ten Virgins’ were successful in the race set before them? Matthew 25:1-12

  3. What method did Paul use in running this race? Was he victorious? Phil. 3:7-8, 14; II Tim. 4:7-8

  4. When Elohim resolved to annihilate Sodom and Gomorrah and the surrounding cities, what was the angel’s commandment to Lot? Gen. 19:12, 13.

  5. What was the warning to Lot and his family? Gen. 19:17.

  6. How did lot’s wife shipwreck her in the race? Gen.19:26

  7. What is Yahshuah counsel to the Messianics? Luke 17:32

  8. How can we avoid making the mistake of Lot’s wife? 2 Tim. 2:3, 4; 1 John 2:15-17

  9. In the Messianic family, will the righteousness of father or ,mother save the son or daughter? Ezek. 14:12-14

  10. In order that one might be successful in running this race, what must one not fail to do? Mark 13:33, 35; Eph. 6:18.

  11. Since the race of life eternal is declared to be an individual matter, should one always seek one‘s welfare and betterment? Phil. 2:4; 1 Cor. 10:24, 33.

  12. In seeking the welfare of others, what must we beware of? 1 Cor. 9:27

 

Lesson for November 23, 2019

 

NECESSITY FOR THE SPIRITUAL GIFTS

 

Scripture reading: 1 Cor. 12

Memory verse: Micah 3:8

 

  1. Is it the will of Elohim that His church should know about the special gifts of the Holy Spirit? 1 Cor 12:1.

  2. What is said about the diversities of gifts, and the manifestation of the Holy Spirit? Verse 6, 7.

  3. What is said about the diversities of operation and administration of the Holy Spirit? Verses 4, 5.

 

Note. The manifestation of the Holy Spirit is given to profit withal, and the fact that Elohim never changes in his manner or dealing with individuals proves that this same power, which operated then in these diversities of gifts, is still being manifested among the children of Elohim.

 

  1. What are the first gifts of the Holy Spirit in order that one should acquire them? Verse 8.

  2. What is the third gift of the Holy Spirit in its order of special need, which wisdom and knowledge of the Word assists us in acquiring? First part of verse 9; Rom. 10:17

 

Note. It will be observed that faith is one of the special gifts of the Spirit which comes as a consequence of the two preceding gifts of wisdom and knowledge. The Lord gives instruction also to study (2 Tim. 2:15), but unless the Holy Spirit is sought and obtained for this work, it will result largely in mechanical instead of spiritual development. The things of Elohim are spiritually discerned: therefore, we noted the gifts of the Holy Spirit to properly understand and receive the correct interpretation of the scriptures.

 

  1. What is the fourth gift of the Holy Spirit? Verse 9, last part.

  2. What are the other gifts? Verse 10.

  3. Does every the person connected with the body of Messiah possess some of the gifts of the Holy Spirit? Verse 11, last part

 

Lesson for November 30, 2019

 

THE NECESSITY OF THE GIFT OF MIRACLES

 

Scripture reading: Acts 8:5-25

Memory verse: Joshua 3:5

 

  1. What is one of the primary purposes of miracles? Ex. 4:5; Num. 16:28 ; Ex. 19:3-4; John 2:23.

  2. What was the purpose of the plagues in Egypt? Ex. 7:5; 9:29

  3. When the manna and the quails fell among Israel, was the Lord magnified? Ex. 16:6, 12-15.

  4. Elijah used a miracle to show to the children of Israel that the Father in Heaven was the true Elohim. -- 1 Kings 18:23-24, 37-39.

  5. For what purpose was Yahshuah’ greatest miracles performed? John 11:41-43.

 

  1. What did Yahshuah tell the nobleman who came to Him for the healing of his son? John 4:48.

  2. Why did Yahshuah refer to Lot’s wife when telling of His second coming? Luke 17:26-32.

  3. After the ascension of Messiah, was the gift of miracle still prevalent? Acts 3:1-11, 4:9, 10.

  4. Should we continue to praise the Lord and hope for miracles? James 5:15, 16; John 14:12, 13; Mark 16:17, 18.

 

Lesson for December 7, 2019

 

PERILOUS TIMES

 

Scripture reading: 2 Timothy 3.

Memory verse: 2 Timothy 3:14.

 

  1. Describe the perilous times of which Paul spoke? 2 Timothy 3:1-7.

  2. What does Paul mean in verse 7?

  3. For what did Paul say the Holy Scriptures were given? Verses 16, 17.

  4. What would some do in the later times? 1Timothy 4:1.

  5. How about their consciences? Verse 2.

  6. What is said about the rich men of the last days? James 5:1-3.

  7. Tell us why the rich should weep? Verse 4.

  8. Besides living in pleasure on this earth, what have they done? Verse 6.

  9. In these times of peril, what does Yahshuah say we should take heed to? Luke 21:34, 35. What did Paul say we should do? Hebrews 10:25.

  10. What will be the reaction of the people of the world when the Son of man comes in His glory? Matthew 24:30,

 

Note. --- It is evident from alt the signs about us that we are living in the last days. Perilous times are here and it behooves every one or us to lift up our heads for our redemption draweth nigh (Luke 21:28); Also, to be about our Father’s business, as profitable servants. John 4:35, 36.

 

Lesson for December 14, 2019

 

THE REMNANT PEOPLE TRIUMPHANT

 

Scripture reading: Isaiah 66

Memory verse: Isa 66:22

 

  1. At the conclusion of Isaiah’s prophecies, what emphasis were placed on the importance of this earth? Isaiah 66:1

  2. What class of people is the Heavenly Father going to notice and exalt in the end? Isaiah 66:2

  3. What were some of the sins that provoked Him to anger? Isaiah 65:2-4

  4. What is said of those who forget his holy mountain? Isaiah 65:11, 12

  5. What were some of the other sins mentioned? Isaiah 66:3.

 

Note. Our Saviour rebuked the self-righteous “better than thou spirit” (Luke 18:9-14) in the Pharisee who trusted in himself and despised others. This attitude is a manifestation of the flesh. The Saviour tells us to “judge not and to condemn not” but to pray for the erring ones, and to even love our enemies, and to do good to them that despitefully use us. Luke 6:28, 37.

 

  1. What will the Heavenly Father extend to the remnant church? Isaiah 66:12, 13.

  2. When the people see this, what will they do? What will happen to the wicked? Isaiah 66:13-16

  3. Against what particular class are the judgments brought to bear? Isaiah 66:17, 18.

 

Lesson for December 21, 2019

 

ETERNAL LIFE

Scripture reading: John 3:1-21.

Memory verse: John 10:10.

 

  1. Did Messiah come to condemn the world? John 3:17.

  2. What is it that condemns us? John 3:18.

  3. Why do men love darkness? John 3:19.

  4. Why are the evil afraid of the light? John 3:20, 21.

  5. If we believe, what are we? 1 John 5:9, 10.

  6. What witness shall we receive? 1 John 5:9, 10.

  7. How do we the believers receive eternal life? 1 John 5:11.

  8. Through whom do we have this eternal life? 1 John 5:12.

  9. By whom is this eternal life sealed? Ephesians 1:13.

  10. What should we not do to the Spirit? Ephesians 4:30.

  11. When can we claim Sonship with the Lord? 1 John 3:1, 2.

  12. For what do we as Messianics wait? Romans 8:19.

 

Note. — Faith is the substance of things hoped for. It is faith that leads us to the Lord. Some are waiting on feelings or emotions; when we accept Yahshuah, we know that we are sinners and that Yahshuah is our Saviour. We talk to Him in prayer about our lost condition, we confess and repent, and He gives us the witness in our souls that we are forgiven, and that He takes His abode in our lives and makes all things new, Praise Him!

 

 

Lesson for December 28, 2019

 

SCRIPTURAL PROOF THAT MESSIAH IS THE SON OF ELOHIM

Note. There were over 250 text of Old Testament scripture fulfilled in the events of the birth, life, death and resurrection of Yahshuah Messiah the Messiah. Besides His great miraculous power in healing the sick and raising the dead, Yahshuah fulfilled all the prophecies concerning the promised Jewish Messiah.

 

Scripture reading: 1 Cor. 15:1-9; John 5:38-47.

Memory verse: John 5:46

 

  1. What part of the scriptures is referred to in John 5:38?

  2. Did Paul declare that our Saviour came according to the Old Testament? 1 Cor. 15:3,4

  3. Was the Messiah, for whom the Jews look today, to come as a mighty ruler, or was He to come as a child? Isa. 7:14, 16; 9:6,7; 11:1.

 

Note. The sign was that a virgin would conceive and bring forth this child, and also that the land would be deprived of both kings before he would be old enough to know good and evil. Herod died (Matt. 2:14, 15) and Archelaus reigned in his place and was also deposed, before the Messiah child was six years of age according to all historical accounts.

 

  1. Where was He to be born? Micah 5:2; Matt. 2:1-5.

  2. Was Messiah Yahshuah to be cut off and slain, or was he to restore the kingdom? Dan. 9:26 (first part).

  3. What was to happen to Jerusalem after He was cut off? Was the land to be desolate? Dan. 9:26(last part.)

 

Note. If the first coming of the Messiah is yet future, then Jerusalem is to be destroyed again and the Holy Land to become desolated. The fact the desolation of Jerusalem has already happened (when the Roman General Titus destroyed the city in 70 A.D) means that, according to prophecy, the Messiah has already come.

 

  1. The Messiah was to be numbered with the transgressors and buried with the rich. Was this fulfilled in Messiah’s death? Mark 15:27, 28; Matt. 27:57-60.

  2. What is still another prophecy, fulfilled in His crucifixion? Matt. 27:34-36. Compare with Psalms 22:17, 18.

*******************************

Bible Lessons (Kiswahili)

for

THE CHURCH OF ELOHIM

7th Day

————

4th Quarter

2019

—————

FOR

Tishrei, Cheshvan, Kislev

(October, November, December)

To be used with the Bible

—————

Workers are needed, for the harvest

is great, but laborers are few...

—————

Address all orders to P.O. Box 568,

Jerusalem — Israel

 

_____________

 

Somo la Oktoba 5, 2019 (Tishrei 6, 5780)

KUANGUKA KWA MWANADAMU

Somo Kuu: Isa 59: 1-20.

Fungu La Kukariri: 1 Wakor. 6: 9.

 

1. Je, ufafanuzi wa dhambi ni nini? 1 Yohana 3: 4; Yakobo 4:17.

2. Ni dhambi gani iliyosababisha mtu kuanguka kutoka kwenye hali yake kamilifu? Mwanzo 3: 1- 7.

Fahamu:- Amri ya kwanza iliyovunjwa ilikuwa dhambi ya kwanza. Bwana Elohimakamwamuru yule mtu akisema, Kila mti wa bustani una uhuru wa kula matunda yake; lakini kwa mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile matunda yake; kwa maana siku ile utakapokula matunda yake utakufa.

3. Je ni adhari gani kubwa na uharibifu wa mtu mwenye dhambi ilitokea? Waefeso 2: 3; Zab. 51: 5; Ayubu 25: 4-6.

4. Je, kuanguka kwa mwanadamu kulifanya ulimwengu wote uharibiwe? Warumi 3: 9-12; 1 Yohana 5:19; Isa 64: 6.

5. Jinsi gani dhambi iligunduliwa katika sheria? Warumi 2: 12-15; Yohana 8: 9; 15:22.

6. Je! Dhambi inahalalishwa na sheria ya Elohim? Warumi 3:20, 7: 7.

 

Fahamu:- Adhabu ya dhambi ni kifo. "Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti." Mauti imepita juu ya kila mtu kama hatima ya dhambi zilizotendwa.

7. Je, matokeo ya maisha ya mtu aliyeanguka ni nini? Zab 119: 115; Yer 8:20; 1 Wakor 6: 9.

8. Kuelewa kwa mtu aliyeanguka huwa giza (Warumi 1:28), dhamiri yake imefungwa (1 Tim 4: 2,

Tito 1:15); atakuwa mtumwa (Yer 13:23; 2 Tim 3:13); daima atakuwa na hofu (Ayubu 18: 11-15).

Fahamu:- Maafa haya yote yanatokana na uasi wa amri za Elohim. Elohim hawezi kubadilisha Neno lake. Alisema siku utakapokula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya utakufa,Isa 43:27, 28.

*******************************

Somo la Oktoba 12, 2019 (Tishrei 13, 5780)

MIMI NI MLINZI WA NDUGU YANGU?

Somo Kuu: 1 Kor. 12: 12-26,

Fungu La Kukariri: Waroma 14:19.

 

1. Je! Paulo alikuwa na lengo gani alipotumia mwili wa binadamu ili kutoa mfano wa kanisa? 1 Wakor. 12:25

2. Jinsi gani tutaweza kuwa washiriki wa mwili huu na ni nani anayefaa? 1 Wakor. 12:13, 14.

3. Je! Unaweza kutoa maandiko mengine ya kuthibitisha zaidi?

4. Mshiriki mmoja anaweza kuwa na athari gani kwenye mwili au kwenye kanisa? Kwa nini? 1 Wakor. 12:26, 27

5. Biblia Takatifu ina mengi ya kusema juu ya kukosesha. Je! Ina chochote cha kusema juu ya kosa? Zab. 119: 165

6. Chunguza mstari wetu wa kukariri na uone nini kilichomwongoza Paulo kusema kile

alichofanya katika Warumi 14:19

7. Kwa nini tunapaswa kuwa makini sana kutomkosea ndugu yetu? Mithali 18:19; 1 Wakor. 8: 11-13

8. Ndugu yetu, dada, au mama ni nani? Mathayo. 12: 48-50

*******************************

Somo la Oktoba 19, 2019 (Tishrei 20, 5780)

DHAMBI NA SULUHU

Somo Kuu: Kutoka 20: 1-21

Fungu La Kukariri: Yakobo 2:10, 11

 

1. Je! Dhambi imetangazwa kuwa ni nini? Yakobo 2:10, 11.

2. Je! Dhambi za watu zilisamehewaje wakati wa kale? Walawi 5: 14,15, 7:11, 37, 38.

 

Fahamu:- Adhabu ya kuvunja yoyote kati ya amri kumi wakati wa Agano la Kale ilikuwa kifo na kupigwa na mawe. Haikuwa tu kwa kuvunja Sabato, bali kwa kila moja ya amri. Walawi 24: 13-17.

 

3. Ikiwa mtu alikuwa maskini sana kumtoa mwana-kondoo, ni nini ilitolewa kama mbadala? Walawi 5: 7.

4. Kwa nini hawa wana-kondoo hawa wasio na hatia waliuawa? Huu upatanisho ulilenga nani? Yohana 1: 29-34; 1 Petro 1:19.

5. Je, ni Sheria ya Amri Kumi ambayo ilifutwa au ilikuwa ni mfumo huu wa zamani wa msamaha ambao uliisha? Waebr. 10: 3-12.

Fahamu:- Tunaposoma kuhusu mateso ya Mwokozi wetu juu ya msalaba, tazama uchungu wa kusulubishwa kwake, tunapaswa kulifikiri hilo jambo kwa njia ile ile ambayo wana wa Israeli walikuwa wakati walitazama mauaji ya wale kondoo wasio na hatia. Inatufundisha matokeo mabaya ya kuasi Mkuu na Mwenye nguvu ambaye aliumba ulimwengu na kutuumba kwa mfano wake. Tunapaswa kufanywa kuelewa kikamilifu kwamba kuvunja sheria hii kulileta kifo cha mpendwa wetu Mwana-Kondoo na Mwokozi msalabani, sawasawa na dhambi iliyoleta kifo cha wanyama hao zamani zile.

6. Jinsi gani Masihi na Mwokozi aliyeahidiwa kwa muda mrefu angeingiaje duniani? Isaya 7:14.

7. Je! Alipaswa kutolewa kama Mwana-Kondoo kwa ajili ya dhambi za watu? Isaya 53: 7, 8.

Fahamu:- Sababu watu wengi wa Uyahudi bado wana giza juu ya kuja kwa Masihi iko katika sura nzima ya 53 kitabu cha Isaya iliyoondolewa katika kusoma kwa sunagogi, karibu miaka elfu mbili iliyopita na viongozi wao. Hata hivyo, tangu ugunduzi wa vitabu vya (Dead Sea Scrolls) Bahari ya Chumvi (ambavyo vilivyokuwa na hiyo sura). Inachukuliwa kuwa sehemu halisi ya maandiko Matakatifu.

*******************************

 

 

Somo la Oktoba 26, 2019 (Tishrei 27, 5780)

MUUJIZA WA KUONGOKA (KUBADILIKA)

Somo Kuu: 2 Kor .5

Fungu La Kukariri: 2 Kor. 5:17.

 

1. Tangu kuanguka kwa Adamu, kuja kwetu katika ulimwengu huu kumeelezewa aje? Zab 51: 5.

2. Je! Moyo umeelezewaje? Yer. 17: 9

3. Ni mfano gani unaoonyesha kina cha dhambi kupenya moyoni? Yer. 17: 1.

4. Je! Mtume Paulo anaelezeaje zaidi hali ya mwanadamu? Warumi 3: 10-18.

Fahamu:- Hivi ndivyo Elohim anavyoona mwanadamu katika hali yake ya asili. Moyo kama huo (hapo juu) hauwezi kufanya vizuri. Ikiwa kutakuwa na mabadiliko, basi muujiza lazima ufanyike.

5. Jinsi gani inavyoeleweza kuwa haiwezekani kubadilisha mioyo yetu? Yer 13:23.

6. Jinsi gani Elohim kupitia Ezekieli anaelezea operesheni ambayo hubadilisha moyo wa mtu? Ezekieli 36: 24-26.

7. Baada ya hii operesheni kufanyika, na Roho wa Elohim kuja, itakuwa na athari gani kwetu? Mstari wa 27.

8. Je! Ni nini wajibu wa kila mwenye dhambi, ikiwa lazima atasamehewa? Mithali. 28:13.

9. Jinsi gani Kanuni hii inasisitizwa katika Agano Jipya? Matendo 2:38, 3:19.

10. Ni nini kinachothibitisha muujiza wa kubadilika? Wagalatia. 5:22, 23.

*******************************

Somo la Novemba 2, 2019 (Cheshvan 4, 5780)

WACHUNGAJI WA KONDOO

Somo Kuu: 1 Petro 5.

Fungu La Kukariri: 1 Petro 5: 8

 

1. Ni nani kati yetu aliyechaguliwa kulisha kundi na kuliimarisha? 1 Petro 5: 1-3

Fahamu:- Ukweli kwamba baadhi huitwa Wazee huonyesha kwamba sio wageni katika imani na hasa ni wanaume ambao wana uzoefu.

2. Washiriki wanafananishwa na nini? 1 Petro 5: 2-4.

3. Ni maagizo gani ya kipekee ambayo yamepeanwa kwa vijana? 1 Petro 5: 5

4. Ikiwa watakwazika, kundi hilo litakosa baraka yoyote? 1 Petro 5: 6, 7

5. Ni ulinzi gani bora kwetu sisi dhidi ya shambulio kutoka kwa adui? 1 Petro 5: 8

6. Je, unapaswa kufikiri kwamba mateso yetu ni mabaya kuliko yale ya watu wengine? 1 Petro 5: 9; 1 Petro 4:12

7. Je, Mzee wa kanisa anapaswa kuheshimiwa? 1 Tim. 5:17

8. Ni sheria gani nzuri kwa Mzee kufuata, hasa katika siku hizi za mwisho? II Tim. 3:13, 14, 16,17.

9. Ni malipo gani ambayo Paulo alimpa Timotheo? II Tim. 4: 1-5

10. Je! Wazee lazima wawe tayari kuwahudumia wagonjwa wakati wote? Yakobo 5:14, 15.

11. Ni nani anapaswa kuwa kama mfano wao wa uvumilivu? Yakobo 5:10, 11, 17, 18.

*******************************

Somo la Novemba 9, 2019 (Cheshvan 11, 5780)

SAFARI YA WAMASIHI

Somo Kuu: Ezekieli 18: 24-32

Fungu La Kukariri: Ezekieli 18:24

 

1. Ni ahadi gani isiyoweza kuwa na dosari imetolewa kwa wafanya kazi waaminifu? Ufu. 2: 25-27; Mat. 24:13

2. Katika safari ya uMasihi, ni nani ambaye anasemekana kuwa mkurugenzi wetu? Ufu. 14:12; Mhu. 12:13.

3. Ili kuwa na mafanikio katika safari hii ya uzima, ni nini mtu hapaswi kufanya? Luka 21:36; Mat. 26:41.

4. Sababu ya moja kwa moja ya kuanguka kwa Mfalme Sauli ilikuwa nini? 1 Mambo ya Nyakati. 10:13, 14

5. Uamuzi wa Mtume Paulo ni upi juu ya suala hili? Waebrania 6: 4-6; 10:29

6. Uamuzi wa Petero ni upi? 2 Petro 2: 20-22

7. Kwa nini baadhi ya wana wa Israeli hawakuweza kuingia Kanaani? 1 Wakor. 10: 1, 5-10

8. Ni nini kinachojulikana kuwa ni nguvu ambayo itawasaidia waumini kushinda? Zak. 4: 6; Yohana 14:26 (sehemu ya mwisho)

9. Sababu gani imesababisha WaMasihi wengi waaminifu kushindwa? 1 Tim. 6: 9, 10; 1 Yohana 2: 15-16; II Tim. 4:10 (sehemu ya kwanza).

10. Ili kufanikiwa katika safari hii ya uzima, ni roho gani na nia gani mtu anafaa kuwa nazo? Waebr. 3: 12-15; 4: 2, 6, 11.

11. Je Shauri la Paulo kwa WaMasihi ni gani? 1 Wakor. 9: 24-26.

*******************************

 

Somo la Novemba 16, 2019 (Cheshvan 18, 5780)

SAFARI YA WAMASIHI (Part 2)

Somo Kuu: Ezekieli 14: 12-20

Fungu La Kukariri: Mwanzo 19: 17

 

1. Yahshua alisema nini kuhusu safari ya uzima? Luka 17: 34-36

2. Ni wangapi wa 'Wanawali kumi' walifanikiwa katika safari iliowekwa mbele yao? Mathayo 25: 1-12

3. Je! Ni njia gani Paulo alitumia katika safari hii? Je, yeye alishinda? Wafil. 3: 7-8, 14; II Tim. 4: 7-8

4. Elohim alipoamua kuangamiza Sodoma na Gomora na miji iliyozunguka, amri ya malaika ilikuwa gani kwa Lutu? Mwanzo 19:12, 13.

5. Je! Onyo ilikuwa gani kwa Lutu na familia yake? Mwanzo 19:17.

6. Je! Jinsi gani mke wa Lutu alipotea katika safari? Mwanzo 19: 26

7. Je, Yahshua alitoa ushauri gani kwa WaMasihi? Luka 17:32

8. Tutawezaje kuepuka kufanya makosa kama ya mke wa Lutu? 2 Tim. 2: 3, 4; 1 Yohana 2: 15-17

9. Katika familia ya KiMasihi, je! Utakatifu wa baba au, mama utaokoa mtoto au binti? Ezek. 14: 12-14

10. Ili mtu awe na mafanikio katika hii safari, ni nini mtu hafai kushindwa kufanya? Marko 13:33, 35; Waefeso. 6:18.

11. Kwa kuwa safari ya uzima wa milele imetangazwa kuwa ni jambo la kibinafsi, mtu ataangalia na kujali mambo yake mwenyewe? Wafil. 2: 4; 1 Wakor. 10:24, 33

12. Kutafuta ustawi wa wengine, tunapaswa kuzingatia nini? 1 Wakor. 9:27

*******************************

Somo la Novemba 23, 2019 (Cheshvan 25, 5780)

UMUHIMU WA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU

Somo Kuu: 1 Wakor. 12

Fungu La Kukariri: Mika 3: 8

 

1. Je! Ni mapenzi ya Elohim kwamba kanisa lake liweze kujua kuhusu karama maalum za Roho Mtakatifu? 1 Wakorintho 12: 1.

2. Ni nini kilichosemwa kuhusu tofauti za karama, na udhihirisho wa Roho Mtakatifu? Mstari wa 6, 7.

3. Ni nini kilichosemwa kuhusu aina tofauti za utendaji na uongozi wa Roho Mtakatifu? Mstari wa 4, 5.

Fahamu:- . Udhihirisho wa Roho Mtakatifu hutolewa bila shaka kwa faida, na ukweli kwamba Elohim hawezi kubadilika kwa namna yake au jinsi hushughulika kwa mtu binafsi huthibitisha kwamba nguvu hiyo hiyo, ambayo ilionekana wakati huo katika aina hizi za karama, bado inaonekana kati ya wana wa Elohim.

4. Ni karama gani za kwanza za Roho Mtakatifu ili mtu azipate? Mstari wa 8.

5. Je, karama ya tatu ya Roho Mtakatifu ni ipi kwa utaratibu wake wa mahitaji maalum, ambayo hekima na maarifa ya Neno hutusaidia kupata? Sehemu ya kwanza ya mstari wa 9; Warumi. 10:17

Fahamu:- Itasisitizwa kwamba imani ni moja ya karama maalum ya Roho ambayo huja kama matokeo ya karama mbili zizotangulia za hekima na maarifa. Bwana anatoa maagizo pia ya kujifunza (2 Tim 2:15), lakini isipokuwa Roho Mtakatifu atafutwe na kupatikana kwa ajili ya kazi hii, itakuwa na matokeo kwa jinsi ya kimwili ilivyo badala ya ukuaji kwa njia ya kiroho. Mambo ya Elohim yanaeleweka kwa njia kiroho: kwa hivyo, tuliona karama za Roho Mtakatifu zinahitajika ili kuelewa vizuri na kupokea tafsiri sahihi ya maandiko.

 

6. Je, karama ya nne ya Roho Mtakatifu ni ipi? Mstari wa 9, sehemu ya mwisho.

7. Je, karama zingine za Roho Mtakatifu ni zipi? Mstari wa 10.

8. Je! Kila mtu anayeunganishwa na mwili wa Masihi ana baadhi ya karama za Roho Mtakatifu? Mstari wa 11, sehemu ya mwisho.

*******************************

Somo la Novemba 30, 2019 (Kislev 2, 5780)

UMUHIMU WA KARAMA YA KUTENDA MIUJIZA

Somo Kuu: Matendo 8: 5-25

Fungu La Kukariri: Yoshua 3: 5

 

1. Je, Ni nini mojawapo ya madhumuni ya kimsingi ya miujiza? Kutoka. 4: 5; Nambari. 16:28; Kutoka. 19: 3-4; Yohana 2:23.

2. Je, madhumuni ya mapigo huko Misri ilikuwa ni nini? Kutoka. 7: 5; 9:29

3. Wakati manna na kware zilianguka kati ya Israeli, je, Bwana alitukuzwa? Kutoka 16: 6, 12-15.

4. Eliya alitumia muujiza kuwaonyesha wana wa Israeli kwamba Baba wa Mbinguni alikuwa Elohim wa kweli. 1 Wafalme 18: 23-24, 37-39.

5. Je, ni kwa kusudi gani muujiza mkubwa wa Yahshua ulifanyika? Yohana 11: 41-43.

Fahamu:- Muujiza ni jambo la ajabu; tukio au athari kinyume na sheria zilizowekwa au katiba ya asili. Elohim ndiye Muumba wa asili na sheria zake; kwa hivyo Elohim pia anaweza kuunda miujiza ambayo ni kinyume cha sheria hizi. Kwa maswali ambayo yametangulia tumejifunza kwamba miujiza hufanyika ili kutukuza Muumba.

6. Je, Yahshua alimwambia nini yule diwani ambaye alikuja kwake kwa ajili ya uponyaji wa mwanawe? Yohana 4:48.

7. Kwa nini Yahshua alinukuu mke wa Loti alipokuwa akiwaambia kuhusu kurudi kwake kwa mara ya pili? Luka 17: 26-32.

8. Baada ya kupaa kwa Masihi, je, karama ya miujiza ilikuwa ikushuhudiwa? Matendo 3: 1-11, 4: 9, 10.

9. Je, tunapaswa kuendelea kumsifu Bwana na kuwa na tumaini la kutendewa miujiza? Yakobo 5:15, 16; Yohana 14:12, 13; Marko 16:17, 18.

*******************************

Somo la Desemba 7, 2019 (Kislev 9, 5780)

NYAKATI ZA HATARI

Somo Kuu: 2 Timotheo 3.

Fungu La Kukariri: 2 Timotheo 3:14.

 

1. Fafanua nyakati za hatari ambazo Paulo alinena kuzihusu? 2Timotheo 3: 1-7.

2. Je! Paulo anamaanisha nini katika aya ya 7?

3. Je! Paulo alisema Maandiko Matakatifu yalipeanwa kwa nini? Mstari wa 16, 17.

4. Je! Wengine watafanya nini katika nyakati za mwisho? 1Timotheo 4: 1.

5. Vipi kuhusu dhamiri zao? Mstari wa 2.

6. Je! Imesemwa nini kuhusu matajiri wa siku za mwisho? Yakobo 5: 1-3.

7. Tuambie kwa nini matajiri watalia? Mstari wa 4.

8. Kando na kuishi katika raha hapa duniani, wamefanya nini ingine? Mstari wa 6.

9. Katika nyakati hizi za hatari, Yahshua alisema tunapaswa kujitahadhari na nini? Luka 21:34, 35. Paulo alisema tunapaswa kufanya nini? Waebrania 10:25.

10. Je! Watu wa ulimwengu watakuwa na hisia gani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake? Mathayo 24:30,

Fahamu:- Ni dhahiri kutoka kwa ishara zinazotuhusu kwamba tunaishi katika siku za mwisho. Nyakati za hatari ziko hapa na inafaa kila mmoja wetu kuinua vichwa vyetu kwa sababu ukombozi wetu unakaribia (Luka 21:28); Pia, kujishughulisha na kazi ya Baba yetu, kama watumishi wenye faida. Yohana 4:35, 36.

*******************************

Somo la Desemba 14, 2019 (Kislev 16, 5780)

USHINDI WA MABAKI YA WATU

Somo Kuu: Isaya 66

Fungu La Kukariri: Isa 66:22

 

1. Katika mwisho wa unabii wa Isaya, ni msisitizo gani uliowekwa juu ya umuhimu wa dunia hii? Isaya 66: 1

2. Ni kundi gani la watu Baba wa mbinguni atakumbuka na kuinua mwishoni? Isaya 66: 2

3. Je, ni dhambi gani ambazo zilimfanya kuwa na hasira? Isaya 65: 2-4

4. Ni nini kilichosemwa juu ya wale wanaosahau mlima wake mtakatifu? Isaya 65:11, 12

5. Je, baadhi ya dhambi nyingine zilizotajwa ni gani? Isaya 66: 3.

 

Fahamu:- Mwokozi wetu alimkemea mwenye kujifanya kuwa haki "roho inayojifanya kuwa bora zaidi kuliko wengine" (Luka 18: 9-14) katika Mfarisayo aliyejiamini mwenyewe na kudharau wengine. Mtazamo huu ni udhihirisho wa mwili. Mwokozi anatuambia "usihukumu na usilaani" lakini inafaa kuombea waovu, na hata kupenda adui zetu, na kuwafanyia mema wale ambao wanaotudhulumu. Luka 6:28, 37.

 

6. Baba wa mbinguni ataeneza nini kwa kanisa la mabaki? Isaya 66:12, 13.

7. Watu wanapoona hili, watafanya nini? Nini kitatokea kwa waovu? Isaya 66: 13-16

8. Ni dhidi ya kundi gani hukumu zitatolewa? Isaya 66:17, 18.

*******************************

Somo la Desemba 21, 2019 (Kislev 23, 5780)

MAISHA YA MILELE

Somo Kuu: Yohana 3: 1-21.

Fungu La Kukariri: Yohana 10:10.

 

1. Je! Masihi alikuja kuhukumu ulimwengu? Yohana 3:17.

2. Je! Ni nini kinachotuhukumu? Yohana 3:18.

3. Kwa nini watu wanapenda giza? Yohana 3:19.

4. Kwa nini waovu wanaogopa nuru? Yohana 3: 20, 21.

5. Ikiwa tutaamini, sisi ni nani? 1 Yohana 5: 9, 10.

6. Je! Tutapata ushahidi gani? 1 Yohana 5: 9, 10.

7. Je! Sisi waumini tunapataje uzima wa milele? 1 Yohana 5:11.

8. Je! Tunapata uzima wa milele kupitia nani? 1 Yohana 5:12.

9. Je! Uzima wa milele umetiwa muhuri na nani? Waefeso 1:13.

10. Je! Ni nini hatupaswi kufanyia Roho? Waefeso 4:30.

11. Ni lini tutaweza kudai kuwa wana wa Bwana? 1 Yohana 3: 1, 2.

12. Je! Sisi WaMasihi tunangojea nini? Warumi 8:19.

 

Fahamu:- - Imani ndio kiini cha mambo yanayotarajiwa. Ni imani hutuongoza kwa Bwana. Wengine wanangojea hisia; tunapompokea Yahshua, tunajua kuwa sisi ni wenye dhambi na kwamba Yahshua ni Mwokozi wetu. Tunazungumza naye katika maombi juu ya hali yetu ya kupotea, tunakiri na kutubu, na Yeye hutupea ushuhuda katika mioyo yetu kwamba tumesamehewa, na kwamba Yeye huchukua makao yake katika maisha yetu na hufanya vitu vyote kuwa vipya, Msifuni!

*******************************

Somo la Desemba 28, 2019 (Kislev 30, 5780)

USHAHIDI KATIKA MAANDIKO KWAMBA MASIHI NI MWANA WA ELOHIM

 

Somo Kuu: 1 Kor. 15: 1-9; Yohana 5: 38-47.

Fungu La Kukariri: Yohana 5:46

 

Fahamu:- Kuna maandiko zaidi ya 250 katika Agano la Kale yalitimizwa katika matukio ya kuzaliwa, maisha, kifo na ufufuo wa Yahshua ambaye ni Masihi. Mbali na nguvu zake za ajabu katika kuponya wagonjwa na kufufua wafu, Yahshua alitimiza unabii wote kuhusu Masihi wa Kiyahudi aliyeahidiwa.

 

1. Ni sehemu gani ya maandiko ambayo imerejelewa katika Yohana 5:38?

2. Je! Paulo alitangaza kwamba Mwokozi wetu alikuja kulingana na Agano la Kale? 1 Wakor. 15: 3,4

3. Je! Masihi, ambaye Wayahudi wanasubiri leo, kuja kama mtawala mwenye nguvu, au alikuwa akuje kama mwana? Isa. 7:14, 16; 9: 6,7; 11: 1.

 

Fahamu:- Ishara ilikuwa kwamba bikira angeweza kuchukua mimba na kuzaa mtoto huyu, na pia kwamba nchi ingekuwa imekwisha kunyimwa wafalme wote wawili kabla ya yeye kuwa na umri wa kutosha wa kujua mema na mabaya. Herode alikufa (Mathayo 2:14, 15) na Archelaus akatawala mahali pake na pia yeye akatolewa, kabla ya Masihi kuwa na umri wa miaka sita kulingana na maelezo yote ya kihistoria.

 

4. Alikuwa azaliwe wapi? Mika 5: 2; Mathayo. 2: 1-5.

5. Je, Yahshua Masihi alipaswa kukatiliwa mbali na kuuwawa, au alikuwa aurejeshe ufalme? Dan. 9:26 (sehemu ya kwanza).

6. Nini kilichotokea Yerusalemu baada ya kukatiliwa mbali kwake? Mji ulikusudiwa kuwa ukiwa? Dan. 9:26 (sehemu ya mwisho.)

 

Fahamu:- Ikiwa kuja mara ya kwanza kwa Masihi bado ni wakati ujao, basi Yerusalemu itaharibiwa tena na nchi Takatifu kuwa ukiwa. Ukweli wa uharibifu wa Yerusalemu tayari ulitokea (wakati Mkuu wa Kirumi Tito, aliharibu mji mwaka wa 70 A.D) ina maana kwamba, kulingana na unabii, Masihi alishakuja.

 

7. Masihi alikuwa ahesabiwe na wahalifu na kuzikwa pamoja na matajiri. Je! Hii ilitimizwa katika kifo cha Masihi? Mark 15:27, 28; Mat. 27: 57-60.

8. Ni unabii upi mwingine, uliotimizwa wakati wa kusulubiwa kwake? Mat. 27: 34-36. Linganisha na Zaburi 22:17, 18.

*******************************

bottom of page