
Bible Lessons
for
THE CHURCH OF ELOHIM
7th Day
————
2nd Quarter
2019
—————
FOR
April, May, June.
To be used with the Bible
—————
Workers are needed, for the harvest
is great, but laborers are few...
—————
Address all orders to P.O. Box 568,
Jerusalem — Israel
"Pray for the peace of Jerusalem: they shall
---------------------------------------------------------
Lesson for April 6, 2019
MESSIAH’S OBEDIENCE TO ELOHIM - MESSIAH’S SUFFERING FOR OUR SALVATION
Scripture reading: Isaiah 53.
Memory verse: Hebrews 2:9, 10.
1. To what is Messiah likened in growing up? Isaiah 53:2.
2. What did the people who walked in darkness see? Isaiah 9:2.
3. What nature did Yahshua take on Himself when He came to earth to redeem His people? Hebrews 2: 16.
4. Whom did He wish to be made like? Verse 17, 18.
5. Why was He called Yahshua? Matthew 1:21.
6. What other name did He give Himself? John 10:11.
7. For what purpose did Messiah come into this world? 1 Timothy 1:15.
8. How great was Elohim’s love for the world? John 3:16.
9. What great gift does a Messianic acquire of Elohim through Messiah? Romans 6:23 (last part).
10. What power was given regarding His sacrifice for His own? By whom was it given? John 10:17, 18.
11. Were the sufferings of Messiah many and varied? Isaiah 53:8-10.
12. With whom did He make His grave? Verse 9.
Note. - Messiah, our great example, went away doing good, and suffered much hardship for us, ill treatment, even death, but He conquered death and ascended into Heaven, and is making intercession for us at the right hand of Elohim the Father. Let us be willing to work for Him in helping to win precious souls for His eternal Kingdom, and suffer for Him, even unto death if need be.
*******************************
Lesson for April 13, 2019
MY BODY IS MEAT INDEED, AND MY BLOOD IS DRINKINDEED
Scripture Reading: St. John 6:22-71.
Memory Verse: St. John 6:54
1. Where did Yahshua go after feeding the five thousand? St. John 6:24-25.
2. Why were the multitude, seeking Yahshua? St. John 6:26.
3. What did Yahshua tell them about meat? From where did He say this meat could be obtained? St. John 6:27.
4. Does it appear that the multitude thought they had this bread from Heaven? How did Yahshua reply? St. John 6:31-35.
5. How did the Jews respond to this statement which Yahshua made? St. John 6:42.
6. How did Yahshua reply to their murmurings? St. John 6:48, 50, 51, 53-58.
7. When Yahshua introduced the Lord’s Supper, what did He say the unleavened Bread represented? St. Luke 22:19, St. Matt. 26:26. Compare with St. John 6:51, 53.
Note. — While Yahshua and His disciples were eating the Passover, Yahshua took bread, blessed it and said, take eat this is my body. This unleavened bread represented His Body. The eating of the Passover lamb now was forever in the past. The Passover had become history. Yahshua was introducing the Lord’s Supper.
8. After partaking of the unleavened bread what did Yahshua do? St. Luke 22:20; St. Matt. 26:27.
9. What did Yahshua say that the drink which was in the cup represented? St. Mark 14:24; St. Matt. 26:28; St. Luke 22:20. Compare with St. John 6:53, 54.
10. What did the cup which Yahshua gave His disciples contain? St. Mark 14:25; St. Matt. 26:29.
Note. — The gospels of St. Mark, St. Luke and St. Matt, tell us that the cup which Yahshua blessed contained the fruit of the vine. This was the pure blood of the grapes, which represents the precious Blood of Yahshua. Please see Deut. 32:14, last part. Note the contents of this cup was not fermented wine, nor water, but the blood of the grapes, fruit of the vine.
11. Is it scriptural to refer to the Lord’s Supper as communion? 1 Cor. 10:16.
Note. — Paul in writing to the church of Elohim at Corinth about the Lord’s Supper which Yahshua introduced while they were eating the Passover, just before His cruel trial refers to it as the Lord’s Supper, or communion.
12. Was Judas present and did he partake of the Lord’s Supper? St. Luke 22:21; St. John 13:18.
13. What must each soul do before partaking of The Lord’s Supper? If we fail what will be the sad consequences? 1 Cor. 11:27-30.
*******************************
Lesson for April 20, 2019
THE SUFFERING OF OUR LORD AND SAVIOUR YAHSHUA MESSIAH
Scripture reading: Isaiah 53:1-12.
Memory verse: 1Timothy 1:15.
1. Why did Yahshua come into this world? 1Timothy 1:15.
2. What prompted our Heavenly Father to permit His own Son to die for sinful men? 1 John 4:9, 10; Romans 5:8.
3. Did Messiah Yahshua know beforehand that He would be hated and despised, and finally crucified? Luke 18:31-33.
4. Yahshua knew all that would befall Him, and how He would suffer and be crucified. How willing was He to go through all of this agony, shame and suffering? Luke 22:41, 42; Matthew 16: 21-23; 26:37-39.
5. How great was the agony of His soul and what caused Him added grief? Luke 22:44, 47, 48.
6. What act of Peter caused the Saviour additional sufferings? Luke 22:59-61.
7. What reproachful things were done to Him at the high priest’s house? Luke 22:63, 64.
8. What cruelty did Pilate inflict upon Him? John 19:1-3.
9. What shameful treatment did He receive from the Roman soldiers? Matthew 27:29, 30, 34, 41, 42.
10. What wonderful prayer did He utter for His tormentors while He hung on the cross? Luke 23:34.
11. Was it necessary for Messiah to suffer thus? Hebrews 2:10.
12. In following the example of Messiah’s suffering, what challenge are we given? Romans 8:31, 32.
*******************************
Lesson for April 27, 2019
THE REAFFIRMED ABRAHAMIC COVENANT
Scripture reading: Genesis 49th Chapter.
Memory verse: Genesis 49:10.
1. With whom did the Lord originally make His covenant reestablished? Genesis 17:10.
2. Of Abram’s several sons, with which one was the covenant reestablished? Genesis 26:24.
3. Whom did Isaac worship? Genesis 26:25.
4. With what words did the Lord reaffirm His Abrahamic covenant unto Isaac? Genesis 26:3, 4.
5. Why did Elohim reaffirm the covenant unto Isaac? Genesis 26:5.
6. Isaac had two sons, which one was the seed of promise? Romans 9:10-14.
7. With what words did the Lord reaffirm the covenant with Jacob? Genesis 28:13-15; 35:9-12.
8. How many sons were born unto Jacob? Genesis 35:22.
9. Jacobs blessings upon his twelve sons were concerning events of what time period? Genesis 49:1.
Note. - The promises transferred from Abram, to Isaac, to Jacob, are here divided among the twelve sons, with Judah and Joseph receiving the chief promises.
10. The Law giver and ruler (King) was to come from which tribe? Genesis 49:9, 10.
11. What are the specific promises in the Abrahamic covenant? 22:17, 18.
*******************************
Lesson for May 4, 2019
THE WORLD’S GREATEST MISSIONARY
Scripture reading: John 15:1-19,
Memory verse: John 15:5.
1. What was the special mission of our Lord Yahshua in coming down to earth? Luke 19:10:
2. In what attitude did Yahshua say we were to consider our enemies? Matt. 5:44.
3. When we do good to them that hate and despitefully use us, is this not a sign of our real relation to Elohim? Last part of verses 44, 45.
4. If we only love them that love us, are we really different from the world? Verse 47.
5. Should we hold malice, hatred, or envy, in our hearts towards even our worst enemies? Matt. 6.14, 15.
6. Did Yahshua even wait until His enemies came and asked forgiveness, before He prayed and asked the Father in Heaven to forgive them? Luke 23:34.
7. What did Yahshua teach regarding laying up treasures on earth? Matt. 6:19.
8. While Yahshua was living His life of a missionary, and thus laying up treasures in Heaven, where did He instruct His followers to place their treasures? Matt. 6:20.
9. What reason did He give for this? Verse 21.
10. What did Yahshua say of the fruit each tree of His planting should yield? Matt. 7:17, 19.
11. What class of people will be considered eligible to enter the kingdom of the Lord? Verse 21.
12. What did Yahshua consider the great mission was of doing the will of His Father in Heaven? John 4:34.
13. What was it to which He had reference, in finishing His work? Verse 35.
Note. — Yahshua being our example, and the Holy Ghost is repeatedly admonishing each child of Elohim to follow in His steps, is it not true that everyone should be eager to help in finishing this great work, which is still in progress? We can all be missionaries in paying our tithes to publish the message of salvation.
*******************************
Lesson for May 11, 2019
YAHSHUA CONDEMNS THE TRADITIONS OF MEN
Scripture reading: Matthew 15:1 -20.
Memory verse: Matthew 15:9.
1. After the feeding of the multitudes, who came to Yahshua? Matthew 15:1.
2. What accusation did they lay against His disciples? Matthew 12:1, 2.
3. What counter charge did Yahshua make against them? Verse 3
4. On what reason did Yahshua base His charge? How did this affect their obligations to the commands of Elohim? Verses 4-6.
5. By what term did Yahshua denounce them? Matthew 15:7.
6. How did Isaiah describe this class? Verse 8.
7. What did Yahshua say about this kind of worship? Verse 9.
8. Whose attention did He now invite? Verse 10.
9. What did Yahshua say defiles a man? Verse 11.
10. Who did this offend? Verse 12.
11. To what were these Pharisees likened? What did He say would be their end? Verse 14.
12. What desire did Peter express? Verse 15.
13. What did his question reveal? Verse 16,
14. How did Yahshua explain? Verses 17, 18.
15. What defilement proceeds from a man’s heart? Verses 19, 20.
16. Though the Pharisees have erred in this matter, what two-fold cleansing is recommended by Paul? 2 Corinthians 7:1 (first part).
17. What should be the object of such cleansing? Verse 1 (last part).
*******************************
Lesson for May 18, 2019
LIVING FOR YAHSHUA AND FAITHFULNESS IN STEWARDSHIP
Scripture reading: Matthew 25:14-30.
Memory verse: John 15:2.
1. What was Messiah’s reason for coming down to earth? Luke 19:10.
2. What did Peter say about the Lord’s mission? 1Peter 2:21.
3. With what loving words are we told to follow His example? Matt. 16:24-26.
4. Is there a great reward for being a faithful steward? V. 27.
Note. — There are more ways-of giving one’s life than giving it in death as a martyr. One can
also lose his life in service for the Lord Yahshua Messiah.
5. What is the Bible definition of a tithe? Lev. 27:30-32.
6. To whom does the tithe belong? Verse 30.
7. What are we in the Lord’s sight if we fail to pay that which is due Him? Mal. 3:8.
8. What will be the terrible punishment which will come upon the unprofitable servant? Matt. 25:30.
Note. — Therefore it is very important to live close to the Lord in prayer in order to be sure of paying tithes where they will be profitable to Him and the true cause for which the Lord Yahshua died. There are many deceivers and false teachers who we would not want to support. Matt. 24:24; 2 Tim. 3:13.
9. What are some outstanding examples in the Old Testament of tithe paying? Gen. 14:18-20; Gen. 28:20-22.
10. Did Messiah sanction tithe paying? Matt. 23:23; 22:15-21.
11. Are offerings also required of us? Mal. 3:8, last part.
Note. — We actually do not give the Lord anything in paying tithes, for the tenth of our income is His. He says it belongs to Him. He created the heavens and the earth. Naturally the earth and all that which is on it belongs to Him. See Psalms 24:1 and 50:10. He upholds and sustains it. Heb. 1:3.
12. The tithe which is holy unto the Lord actually provides us with another pair of feet to go forth with the gospel of salvation as our Savior would do if He were actually here on earth again as a man. It gives us a part in preaching the message of salvation unto all the world, to which work He has called every person baptized and redeemed from the world.
*******************************
Lesson for May 25, 2019
THE SUPREME OBJECT IN LIVING
Scripture reading: Romans 12th Chapter.
Memory verse: Romans 12:1.
1. What was it that actuated the Heavenly Father to give His son? John 3:16.
2. Did Messiah voluntarily give Himself and His life to save men? John 10:11, 15, 17.
3. Did Messiah have to give up comforts and riches to carry out His work? 2 Cor. 8:9
4. Did He suffer inconvenience and privations on earth on account of His poverty? Luke 9:58.
5. Did the world appreciate Messiah and His work, even though He made so great a sacrifice? John 1:11.
6. Can there be greater love manifested than that which Messiah demonstrated for us? John 15:13. Rom 5:7, 8.
7. What reward encouraged our Lord to endure the cross? Heb. 12:2.
8. To whom did He commit His work in His absence? Mark 13:34.
9. What mind should be in us respecting the salvation of our fellowmen? Phil. 2:4, 5.
10. What is the underlying principle that actuates a true believer? 2 Cor. 5:15.
11. Will any amount of labor, suffering or sacrifice profit us anything without this love? 1 Cor. 13:1-3.
12. May we expect any better treatment from the world than our Lord and Savior Yahshua Messiah received? John 15:18-20.
13. Is suffering for Messiah’s sake a part of the Messianic’s earthly heritage? Phil. 1:29.
14. Will the true Messianic practice any self-denial for Messiah and the work of the gospel? Luke 9:23-25; Rom. 12:1.
*******************************
Lesson for June 1, 2019
THE TENTH COMMANDMENT
Scripture Reading: Rom. 7:1-25.
Memory Verse: Exodus 20:17.
1. How does the Apostle John define sin? 1 John 3:4.
2. Did Yahshua come into the world to destroy the law? Matt. 5:17; Isa. 42:21.
3. How long does Yahshua say that this law will continue? Matt. 5:18.
4. Often people refer to the Ten Commandment law as being carnal; but how does the Word of the Lord refer to the Holy Commandments? Rom. 7:12-14.
5. Did Paul find it burdensome to keep the Holy Law of Elohim? How does David express the same thought? Rom. 7:22; Psa. 1:1-2; 119:35, 92 and 174.
6. What does the tenth Commandment specifically forbid? Ex. 20:17; Rom. 7:7; Deut 5:21.
7. With what other sins is the sin of covetousness listed? Rom. 13:9; 1 Cor. 5:11.
8. What are the Elohimly people commanded to flee, and what are some of the sorrows caused by coveting? 1 Tim. 6:10, 11.
9. From whence do evil thoughts, covetousness, and lust proceed? St. Mark 7:21-23
10. What must we do in order to overcome the lust of the flesh? Col. 3:5, 6.
11. What did Yahshua say about covetousness? St. Luke 12:15.
12. Will the covetous inherit the kingdom along with the righteous? 1 Cor. 6:9, 10; Eph. 5:5.
13. Must we expect a covetous condition to be in existence in the last days? 2 Tim. 3:2; 2 Pet. 2:13, 14.
14. What should all of Elohim’s people be desirous of? 1 Cor. 12:31: 14:39.
Note. — We are warned again and again to flee the terrible sin of covetousness. We know that this is one of the sins of the age in which we are living; Therefore we need to pray as David prayed; “Search me, Oh Elohim, and know my thoughts: And see if there be any wicked way in me, and lead me in the way everlasting.”
*******************************
Lesson for June 8, 2019
THE TONGUE
Scripture reading: James 3.
Memory verse: Matthew 15:11.
1. What does the Bible say about the tongue? James 3:6, 8.
2. What is one thing that distinguishes a fool from a prudent man? Proverbs 12:23.
3. What do they, who are “void of wisdom”? Proverbs 11:12.
4. What does the Bible call those who destroy their neighbor by slanderish talk? Proverbs 11:9.
5. If we are to have a faithful spirit, what must we do? Proverbs 11:13.
6. Should we count it a small matter when we have kindled a little fire with the tongue? James 3:5.
Note. — Every raging forest fire has a small beginning. So it is with the little fires of the tongue. They may start small, but soon spread engulfing and marring many.
7. What evidence must a wise man show to prove his authenticity? James 3:13.
8. Of what does the “wisdom that is from above” consist? James 3:17
9. Is ordering your conversion aright a matter of life and death? Proverbs 13:3.
10. What must a man do to be perfect? James 3:2; 4:8, 10.
*******************************
Lesson for June 15, 2019
THE DEVIL, AN ADVERSARY
Scripture Reading: Rev. 20.
Memory Verse: James 4:7.
1. What various titles are given to our adversary? Rev. 12:9.
2. Under what circumstances was the beguiler first mentioned? Gen. 3:1-6.
3. From where did Yahshua see Satan fall? St. Luke 10:18.
4. Who was cast out of heaven along with Satan? Rev. 12:7-9.
5. Did Elohim spare the Angels that sinned? 2 Pet. 2:4; Jude 6.
6. Who is the father of lies, and was also the first murder’s? St. John 8:44.
7. In what attitude does our adversary sometimes come? 1 Peter 5:8.
8. In what deceptive way does he appear at other times? 2 Cor. 11:14, 15.
9. Is it possible for the Devil to ensnare people? 2 Tim. 2:26.
10. Did he exempt the Son of Elohim from temptation? St. Luke 4:1-13; Heb. 4:15.
11. Who is the author of sin? 1 John 3:8.
12. Where will Satan be during the millennial age, while Messiah will be reigning upon the throne of David? Rev. 20:1-3.
13. What will Satan’s final punishment be? Rev. 20:10.
14. For whom did Yahshua say that the lake of Fire was prepared? St. Matt. 25:41.
*******************************
Lesson for June 22, 2019
RESISTING SATAN
Scripture reading: James chapter 4.
Memory verse: James 4:7.
1. How did Satan disrupt the peace and tranquility of the Garden of Eden? Gen. 3:1-6.
2. What happened to Achan when he succumbed to the temptation of Satan? Joshua 7:20, 21, 25.
3. What did Satan use to turn Solomon’s heart from the Lord? 1 Kings 11:1-4.
4. Was the Lord Yahshua exempt from the temptations of Satan? Matt. 4:1-3.
Note. — In the foregoing scriptures we see that the devil is no respecter of persons, he tempts everyone. Our daily prayer should be that Elohim would grant us power to resist the devil, then and only then will he flee from us. — James 4:7.
5. What can we do that will help us from certain temptations? Psa. 1:2; Prov. 4:14.
6. With what words of warning did Paul give to the Church in his ministry to the Corinthians? 2 Cor. 2:11.
7. How only may we overcome the devil? 1 John 5:4, 5.
8. What wonderful reward awaits all who overcome the devil? Rev. 3:21, 21:7.
Note. — Without Messiah Yahshua we can do nothing. But thanks be unto Elohim who giveth us the victory. For greater is He that is in you than he that is in the world.
*******************************
Lesson For June 29, 2019
SPIRITUAL, PHYSICAL, MATERIAL PROSPERITY
Scripture reading: Psalms 103.
Memory verse: 3 John 2.
1. What was Elohim’s original plan for man? Gen.1:26-28; Psa. 8:4-8.
2. Under the present order, what do the rich do? James 5:1-3.
3. How do they manage to amass all this wealth? Verse 4, first part.
4. How do they live? Verse 5.
5. Though this is so, what is the privilege of the Saints of the most high? 3 John 2.
6. By what does the Heavenly Father gauge the supply of our needs? Phil. 4:19.
7. How much of the riches of this world does the Heavenly Father own? Psa. 24:1, 50:10-12; Hag. 2:8.
8. What testimony has David given of his experience? Psa. 103:1-3.
9. What conversation infers that it is just as easy to be healed as it is to be saved? Matt. 10:7-10.
10. What two-fold ministry was given to the Disciples by the Lord Yahshua Messiah? Matt. 10:1, 7, 8.
11. What other references show that healing and forgiveness of sins go hand in hand? James 5:13-16.
12. If we have this three-fold property now, what may we expect later? Micah 4:8.
13. How does Yahshua the Son of Elohim Himself confirm this promise? Luke 12:32.
*******************************
in Kiswahili
Masomo Ya
Bibilia
kwa
KANISA LA ELOHIM
Siku Ya Saba (7th Day)
————
Robo Ya Tatu
2018
—————
Ya
Julai, Agosti, Septemba
(Tammuz, Av, Elul, Tishrei)
—————
Watenda kazi wanahitajika,
Mavuno ni mengi, lakini watends kazi ni
wachache...
—————
Tuma maombi yote kwa S.L.P 568,
Jerusalem — Israel
Somo la 6 Aprili, 2019 (Nisan 1, 5779)
UTIIFU WA MASIHI KWA ELOHIM – KUTESEKA KWA MASIHI KWA AJILI YA WOKUVU WETU
Somo Kuu: Isaya 53.
Fungu La Kukariri: Waebrania 2: 9, 10.
1. Masihi anafananishwa na nini katika kukua kwake? Isaya 53: 2.
2. Watu waliokwenda katika giza waliona nini? Isaya 9: 2.
3. Yahshua alichukua asili gani mwilini mwake wakati alipokuja duniani kuwakomboa watu wake? Waebrania 2:16.
4. Alitaka kufanywa kama nani? Mstari wa 17, 18.
5. Ni kwa nini aliitwa Yahshua? Mathayo 1:21.
6. Ni jina gani lingine alijipea mwenyewe? Yohana 10:11.
7. Ni kwa sababu gani Masihi alikuja ulimwenguni? 1 Timotheo 1:15.
8. Upendo wa Elohim kwa ulimwengu ulikuwa mkubwa kiasi gani? Yohana 3:16.
9. Ni zawadi gani Kubwa MMasihi hupata kutoka kwa Elohim kupitia Masihi? Warumi 6:23 (sehemu ya mwisho).
10. Ni nguvu gani iliyotolewa kuhusiana na dhabihu yake? Ilipeanwa kupitia nani? Yohana 10:17, 18.
11. Mateso ya Masihi yalikuwa mengi na yaliyotofauti tofauti? Isaya 53: 8-10.
12. Ni nani aliyefanya kaburi pamoja naye? Mstari wa 9.
Fahamu. - Masihi, aliye mfano wetu mkuu, alienda akifanya mema, na akateseka sana kwa ajili yetu, akatendewa vibaya, hata kifo, lakini alishinda mauti na akapaa Mbinguni, na anatuombea katika mkono wa kulia wa Elohim Baba. Wacheni tuwe na moyo wa kumtumikia katika kusaidia kuokoa mioyo iliyo ya thamani kwa sababu ya Ufalme Wake wa milele. Tuteseka kwa ajili Yake, hata kufa ikiwa itahitajika.
******************************
13 Aprili, 2019 (Nisan 8, 5779)
MATESO YA BWANA WETU NA MWOKOZI YAHSHUA MASIHI
Somo Kuu: Isaya 53: 1-12.
Fungu La Kukariri: 1 Timotheo 1:15.
1. Ni kwa nini Yahshua alikuja ulimwenguni? 1 Timotheo 1:15.
2. Ni nini kilichomfanya Baba yetu wa mbinguni kuruhusu Mwanawe mwenyewe afe kwa ajili ya watu wenye dhambi? 1 Yohana 4: 9, 10; Warumi 5: 8.
3. Masihi Yahshua alijua kabla ya kuwa angechukiwa na kudharauliwa, na hatimaye kusulubiwa? Luka 18: 31-33.
4. Yahshua alijua yote yatakayompata, na jinsi angeweza kuteseka na kusulubiwa. Jinsi gani alikuwa tayari kupitia uchungu huu wote, aibu na mateso? Luka 22:41, 42; Mathayo 16: 21-23; 26: 37-39.
5. Uchungu wa nafsi yake ulikuwa mkubwa vipi, na ni nini kilicho mwongezea huzuni? Luka 22:44, 47, 48.
6. Ni kitendo gani cha Petro kilichosababisha kuongezeka kwa mateso kwa Mwokozi? Luka 22: 59-61.
7. Ni mambo gani ya dharau aliyofanyiwa katika nyumba ya kuhani mkuu? Luka 22:63, 64.
8. Ni ukatili gani Pilato aliomfanyia? Yohana 19: 1-3.
9. Ni matendo gani ya aibu alipokea kutoka kwa askari wa Kirumi? Mathayo 27:29, 30, 34, 41, 42.
10. Ni ombi gani la ajabu alilioomba kwa ajili ya watesaji wake wakati alipokuwa ameangikwa msalabani? Luka 23:34.
11. Ilikuwa inahitajika kwa Masihi kuteseka hivyo? Waebrania 2:10.
12. Katika kufuata mfano wa mateso ya Masihi, ni changamoto gani tumepewa? Warumi 8:31, 32.
******************************
20 Aprili, 2019 (Nisan 15, 5779)
AGANO LA IBRAHIMU LILILOTHIBITISHWA
Somo Kuu: Mwanzo 49 .
Fungu La Kukariri: Mwanzo 49:10.
1. Ni pamoja nani Bwana alifanya agano lake lianzishwe hapo awali? Mwanzo 17:10.
2. Kwa wana kadhaa wa Abramu, ni nani ambaye agano lilifanywa imara tena? Mwanzo 26:24.
3. Isaka aliabudu nani? Mwanzo 26:25.
4. Ni kwa maneno gani Bwana alithibitisha ahadi ya Ibrahimu kwa Isaka? Mwanzo 26: 3, 4.
5. Kwa nini Elohim alithibitisha agano kwa Isaka? Mwanzo 26: 5.
6. Isaka alikuwa na wana wawili, ni nani ambaye alikuwa mbegu ya ahadi? Warumi 9: 10-14.
7. Ni kwa maneno gani Bwana alithibitisha agano na Yakobo? Mwanzo 28: 13-15; 35: 9-12.
8. Ni watoto wangapi waliozaliwa na Yakobo? Mwanzo 35:22.
9. Baraka za Yakobo juu ya wanawe kumi na wawili zilihusu matukio ya muda gani? Mwanzo 49: 1.
Fahamu. - Ahadi zilizopitishwa kutoka kwa Abramu, kwa Isaka, kwa Yakobo, zimegawanyishwa kati ya wana kumi na wawili, Yuda na Yosefu wakipokea ahadi zilizo kuu.
10.Mtoaji na Sheria na Mtawala (Mfalme) alikuwa atoke kwa kabila gani? Mwanzo 49: 9, 10.
11. Ahadi ni gani hasa katika agano la Ibrahimu? 22:17, 18.
******************************
-----========-----
29 Abib (4 May) 2019
MJUMBE MKUU WA ULIMWENGU
Somo Kuu: Yohana 15: 1-19,
Fungu La Kukariri: Yohana 15: 5.
1. Ni lengo gani maalum lililo mfanya Bwana wetu Yahshua kuja duniani? Luka 19:10:
2. Yahshua alisema tunafaa kuwa mtazamo gani kwa adui zetu? Mat. 5:44.
3. Tunapofanya mema kwa wale wanaotuchukia na wanaotutumia vibaya, si hii ni ishara ya uhusiano mwema na Elohim? Sehemu ya mwisho ya aya 44, 45.
4. Ikiwa tunawapenda tu wanaotupenda, tutakuwa na tofauti na ulimwengu? Mstari wa 47.
5. tunafaa kuwa na umbaya, chuki, au wivu mioyoni mwetu hata kwa adui zetu walio wabaya zaidi? Mat. 6.14, 15.
6. Je, Yahshua alingojea hata adui zake waje na kumwomba msamaha, kabla ya kuomba na kumuuliza Baba aliye Mbinguni awasamehe? Luka 23:34.
7. Yahshua alifundisha nini kuhusu kuweka hazina duniani? Mat. 6:19.
8. Wakati Yahshua alikuwa akiishi maisha ya mjumbe, na hivyo kuweka hazina mbinguni, aliwaagiza wafuasi wake waweka hazina yao wapi? Mat. 6:20.
9. Ni sababu gani alitoa kwa jambo hili? Mstari wa 21.
10.Yahshua alisemaje, kuhusu matunda ya kila mti aliopanda, unapaswa kuzalisha nini? Mat. 7:17, 19.
11.Ni kikundi gani cha watu kitakubaliwa kuingia katika ufalme wa Bwana? Mstari wa 21.
12.Yahshua aliona lengo kuu lilikuwa lipi la kufanya mapenzi ya Babaye wa Mbinguni? Yohana 4:34.
13.Ni kitu gani ambacho alionyesha, katika kuimaliza kazi Yake? Mstari wa 35.
Fahamu. - Yahshua akiwa mfano wetu, na Roho Mtakatifu mara kwa mara anamsihi kila mtoto wa Elohim kufuata hatua zake. Si ni kweli kwamba kila mtu anapaswa kuwa na shauku ya kusaidia kuimaliza kazi hii kubwa, ambayo bado inaendelea? Tunaweza wote kuwa wajumbe katika kutoa zaka zetu ili kuchapisha ujumbe wa wokovu.
******************************
6 Zif (11 May) 2019
YAHSHUA AHUKUMU MAPOKEO YA WANADAMU
Somo Kuu: Mathayo 15: 1-20.
Fungu La Kukariri: Mathayo 15: 9.
1. Baada ya kulisha makutano, ni nani waliokuja kwa Yahshua? Mathayo 15: 1.
2. Ni mashtaka gani waliyotoa dhidi ya wanafunzi wake? Mathayo 12: 1, 2.
3. Ni vipi Yahshua alivyo wahukumu? Mstari wa 3
4. Ni kwa jambo gani Yahshua alisimamisha hukumu yake? Jambo hili linaadhiri amri za Elohim vipi? Mstari wa 4-6.
5. Yahshua alitumia neno gani kuwakemea? Mathayo 15: 7.
6. Isaya alielezeaje kuhusu kikundi hiki? Mstari wa 8.
7. Yahshua alisemaje kuhusu ibada ya aina hii ? Mstari wa 9.
8. Sasa alitaka kina nani wawe makini? Mstari wa 10.
9. Yahshua alisema ni nini humtia mtu unajisi? Mstari wa 11.
10.Ni nani aliyechukizwa na jambo hilo? Mstari wa 12.
11. Mafarisayo hawa walifananisha na nini? Alisema mwisho wao utakuwa nini? Mstari wa 14.
12. Ni jambo gani Petro alitamani? Mstari wa 15.
13.Swali lake lilidhihirisha nini? Mstari wa 16,
14.Yahshua alielezea vipi? Mstari wa 17, 18.
15.Ni unajisi gani unaotokana na moyo wa mtu? Mstari wa 19, 20.
16.Ingawa Mafarisayo wamekosea katika jambo hili, ni utakaso gani mara dufu unapendekezwa na Paulo? 2 Wakorintho 7: 1 (sehemu ya kwanza).
17.Lengo la utakaso huo ni nini? Mstari wa 1 (sehemu ya mwisho).
******************************
13 Zif (18 May) 2019
KUISHI KWA AJILI YA YAHSHUA NA KUAMINIKA KATIKA UWAKILI
Somo Kuu: Mathayo 25: 14-30.
Fungu La Kukariri: Yohana 15: 2.
1. Sababu ya Masihi kuja duniani ilikuwa gani ? Luka 19:10.
2. Petro alisema nini kuhusu kazi ya Bwana? 1 Petro 2:21.
3. Ni kwa maneno gani ya upendo tunaambiwa tufuate mfano Wake? Mat. 16: 24-26.
4. Kuna thawabu kubwa kwa kuwa wakili mwaminifu? V. 27.
Fahamu. - Kuna njia nyingi za kutoa maisha ya mtu, zaidi na kunjitoa ufe kama shahidi wa imani. Mtu anaweza pia kupoteza maisha yake katika huduma kwa Bwana Yahshua Masihi.
5. Bibilia inaelezea kuwa zaka ni nini? Walawi. 27: 30-32.
6. Zaka ni ya nani? Mstari wa 30.
7. Tutaonekana kuwa vipi mbele ya Bwana ikiwa tutakosa kulipa kile kinachomstahili? Mal. 3:8.
8. Ni adhabu gani baya itakayompata mtumishi asiye na faida? Mat. 25:30.
Fahamu. - Kwa hivyo ni muhimu sana kuishi karibu na Bwana katika kuomba, ili kuwa na uhakika wa kuwa tunatoa zaka mahali ambapo zitakuwa na faida kwake, na kwa sababu halisi ambayo ilimfanya Bwana Yahshua kufa. Kuna wadanganyifu wengi na walimu wa uongo ambao hatungependa kusaidia. Mat. 24:24; 2 Tim. 3:13.
9. Ni mifano gani bora katika Agano la Kale kuhusu kutoa fungu la kumi? Mwanzo 14: 18-20; Mwanzo 28: 20-22.
10.Masihi aliagiza kutoa fungu la kumi? Mat. 23:23; 22: 15-21.
11. Kutoa sadaka pia kunahitajika kwetu? Mal. 3: 8, sehemu ya mwisho.
Fahamu. — Huwa hatumpi Bwana kitu chochote katika kulipa zaka, kwa sababu sehemu ya kumi ya mapato yetu ni yake. Anasema ni yake. Aliumba mbingu na nchi. Kwa hivyo, dunia na vyote vilivyomo ni vyake. Angalia Zaburi 24: 1 na 50:10. Anaimarisha na Kuidumisha. Heb. 1: 3.
Fungu la kumi ambalo ni takatifu kwa Bwana, hutupea miguu mingine ya kupeleka injili ya wokovu, kama vile Mwokozi wetu angefanya kama angekuwa hapa duniani kwa mara nyingine kama mwanadamu. Inatupa sehemu katika kuhubiri ujumbe wa wokovu kwa ulimwengu wote, kazi ambayo aliita kila mtu aliyebatizwa na kukombolewa kutoka ulimwenguni.
******************************
20 Zif (25 May) 2019
LENGO KUU KATIKA KUISHI
Somo Kuu: Warumi 12
Fungu La Kukariri: Waroma 12: 1.
1. Ni nini kilichomfanya Baba wa mbinguni kumtoa Mwanawe? Yohana 3:16.
2. Je, Masihi alijitoa nafsi yake mwenyewe na maisha yake ili kuwaokoa wanadamu? Yohana 10:11, 15, 17.
3. Masihi alipaswa kuyaacha maisha ya starehe na utajiri ili kutekeleza kazi Yake? 2 Wakor. 8: 9.
4. Je, alipata shida na udhaifu duniani kwa sababu ya umasikini wake? Luka 9:58.
5. Je, ulimwengu ulimthamini Masihi na kazi Yake, ingawa alijitoa kwa njia kubwa sana? Yohana 1:11.
6. Kunaweza kuwa na upendo mkubwa unaoweza kudhihirishwa kuliko ule ambao Masihi alituonyesha? Yohana 15:13. Rum 5: 7, 8.
7. Ni malipo gani ambayo yalimhimiza Bwana wetu kuvumilia mateso ya msalaba? Heb. 12: 2.
8. Ni kwa nani alikabidhi kazi yake alipoondoka? Marko 13:34.
9. Ni nia gani inapaswa kuwa ndani yetu katika kudhamini wokovu wa wenzetu? Wafil. 2: 4, 5.
10.Ni kanuni gani ya msingi ambayo inamhimiza mwamini wa kweli? 2 Wakor. 5:15.
11. Kiasi chochote cha kazi , mateso au dhabihu; zitatusaidia kwa vyovyote bila upendo huu? 1 Wakor. 13: 1- 3.
12.Tunafaa kutarajia kutendewa mema kutoka duniani kuliko Bwana wetu na Mwokozi Yahshua Masihi alivyotendewa? Yohana 15: 18-20.
13.Kuteseka kwa ajili ya Masihi ni sehemu ya urithi wa MMasihi hapa dunia? Wafil. 1:29.
14.MMasihi wa kweli atajikana kwa ajili ya Masihi na kwa ajili ya kazi ya Injili? Luka 9: 23-25; Warumi. 12: 1.
******************************
27 Zif (1 June) 2019
AMRI YA KUMI
Somo Kuu: Warumi. 7: 1-25.
Fungu La Kukariri: Kutoka 20:17.
1. Mtume Yohana anafafanua dhambi kuwa nini? 1 Yohana 3: 4.
2. Je, Yahshua alikuja ulimwenguni kutangua sheria? Mat. 5:17; Isa. 42:21.
3. Yahshua alisema sheria hii itaendelea kwa muda gani? Mat. 5:18.
4. Mara nyingi watu wanasema amri kumi kuwa ni ya kimwili; lakini Neno la Bwana linasemaje kuhusu Amri Takatifu? Warumi. 7: 12-14.
5. Je, Paulo aliona kuwa mzigo kutunza Sheria Takatifu ya Elohim? Daudi anaelezeaje wazo lilo hilo? Warumi. 7:22; Zaburi. 1: 1-2; 119: 35, 92 na 174.
6. Amri ya kumi hasa inakataza nini? Kutoka. 20:17; Warumi. 7: 7; Kumbukumbu 5:21.
7. Ni katika dhambi gani nyingine hii dhambi ya tama mbaya imeorodheshwa? Warumi. 13: 9; 1 Wakor. 5:11.
8. Mtu wa Elohim wameamrishwa kukimbia nini, na ni nini baadhi ya huzuni ambayo husababishwa na tamaa? 1 Tim. 6:10, 11.
9. Mawazo maovu, tamaa mbaya, na kutamani hutoka wapi? Marko 7: 21-23.
10.Ni lazima tufanye nini ili tushinde tamaa ya mwili? Kol. 3: 5, 6.
11. Yahshua alisema nini kuhusu tamaa mbaya? Luka 12:15.
12.Wenye kutamani watarithi Ufalme pamoja na wenye haki? 1 Wakor. 6: 9, 10; Waefeso. 5: 5.
13.Tunafaa kutarajia hali ya kutamani kuwako katika siku za mwisho? 2 Tim. 3: 2; 2 Pet. 2:13, 14.
14.Watu wote wa Elohim wanapaswa kuwa na hamu gani? 1 Wakor. 12:31: 14:39.
Fahamu. - Tumeonywa tena na tena kukimbia dhambi mbaya ya tamaa. Tunajua kwamba hii ni moja ya dhambi za nyakati tunazoishi; Kwa hivyo tunahitaji kuomba kama Daudi alivyoomba; “Ee Elohim, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu; Uone kama iko njia iletajo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.”
******************************
5 Sivan (8 June) 2019
ULIMI
Somo Kuu: Yakobo 3.
Fungu La Kukariri: Mathayo 15:11.
1. Biblia inasema nini kuhusu ulimi? Yakobo 3: 6, 8.
2. Ni jambo gani ambalo hutofautisha mpumbavu na mtu mwenye hekima? Mithali 12:23.
3. Wao ni nini, ambao “hawana hekima”? Mithali 11:12.
4. Biblia inawaita nini wale wanaoharibu jirani zao kwa mazungumzo mabaya? Mitha 11: 9.
5. Ikiwa tutapaswa kuwa na roho ya kuaminika, tunapaswa kufanya nini? Mithali 11:13.
6. Tunapaswa kuhesabu kuwa ni jambo ndogo tunapowakisha moto kidogo kwa ulimi? Yakobo 3: 5.
Fahamu. - Kila moto mkuu wa msitu una mwanzo mdogo. Hivyo ndivyo ilivyo na moto mdogo wa ulimi. Inaweza kuanza kidogo, lakini katika muda kidogo huenea na kuwafumania na kuwadhuru wengi.
7. Ni ushahidi gani mwenye hekima anafaa aonyeshe ili kuthibitisha ukweli wake? Yakobo 3:13.
8. “Hekima inayotoka juu” huwa na nini? Yakobo 3:17.
9. Je, Kuyaweka mazungumzo yako Vyema ni suala la maisha na kifo? Methali 13: 3.
10.Mtu anapaswa kufanya nini ili awe mkamilifu? Yakobo 3: 2; 4: 8, 10.
******************************
12 Sivan (15 June) 2019
IBILISI, ADUI
Masomo ya Kusoma: Ufunuo 20.
Fungu La Kukariri: Yakobo 4: 7.
1. Ni majina gani tofauti yamepewa adui yetu? Ufu. 12: 9.
2. Ni katika hali gani aliyekuwa mdanganyifu alitajwa kwa mara ya kwanza? Mwanzo 3: 1-6.
3. Ni kutoka wapi Yahshua alimwona Shetani akianguka? Luka 10:18.
4. Ni nani aliyefukuzwa kutoka mbinguni pamoja na Shetani? Ufu. 12: 7-9.
5. Je, Elohim aliwaachilia Malaika waliofanya dhambi? 2 Pet. 2: 4; Yuda 6.
6. Baba wa uongo ni nani, na pia alikuwa muuaji tangu mwanza? Yohana 8:44.
7. Adui yetu huja kwa mtazamo wa namna gani nyakati zingine? 1 Petro 5: 8.
8. Ni kwa njia gani za udanganyifu huonekana katika nyakati zingine? 2 Wakor. 11:14, 15.
9. Inawezekana kwa Ibilisi kuwatega watu? 2 Tim. 2:26.
10.Je, alikosa kumjaribu Mwana wa Elohim? Luka 4: 1-13; Heb. 4:15.
11.Ni nani mwazilishi wa dhambi? 1 Yohana 3: 8.
12.Shetani atakuwa wapi wakati wa miaka elfu moja, wakati Masihi atatawala juu ya kiti cha enzi cha Daudi? Ufu. 20: 1-3.
13.Adhabu ya mwisho ya Shetani itakuwa ipi? Ufunuo 20:10.
14.Yahshua alisema ziwa la Moto liliandaliwa kwa sababu ya nani ? Mat. 25:41.
******************************
19 Sivan (22 June) 2019
KUMPINGA SHETANI
Somo Kuu: Yakobo sura ya 4.
Fungu La Kukariri: Yakobo 4: 7.
1. Ni vipi Shetani aliharibu amani na utulivu wa bustani ya Edeni? Mwanzo 3: 1-6.
2. Ni nini kilichofanyika kwa Akani wakati alipoanguka katika jaribu la Shetani? Yoshua 7:20, 21, 25.
3. Shetani alitumia nini kugeuza moyo wa Sulemani kutoka kwa Bwana? 1 Wafalme 11: 1-4.
4. Bwana Yahshua aliachiliwa kutokana na majaribu ya Shetani? Mat. 4: 1-3.
Fahamu. - Katika maandiko yaliyotangulia tunaona kwamba shetani hana mapendeleo kwa wanadamu, hujaribu kila mtu. Ombi letu kila siku linafaa kuwa;- Elohim atupe nguvu ya kumpinga Ibilisi, wakati huo na ni wakati huo pekee atakapokimbia kutoka kwetu. Yakobo 4: 7.
5. Ni nini tunaweza kufanya ili kutusaidia kwa majaribu fulani? Zaburi. 1: 2; Methali. 4:14.
6. Ni kwa maneno gani ya maonyo Paulo alipeana kwa Kanisa katika huduma yake kwa Wakorintho? 2 Wakor. 2:11.
7. Ni kwa njia gani pekee tunamshinda shetani? 1 Yohana 5: 4, 5.
8. Ni thawabu gani ya ajabu inayowangonjea wote watakaomshinda Ibilisi? Ufu. 3:21, 21: 7.
Fahamu. - Bila Masihi Yahshua hatuwezi kufanya chochote. Lakini shukrani ni kwa Elohim anayetupa ushindi. Kwa maana aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika ulimwengu.
******************************
26 Sivan (29 June) 2019
MAFANIKIO YA KIROHO, YA KIMWILI NA YA MALI
Somo Kuu: Zaburi 103.
Fungu La Kukariri: 3 Yohana 2.
1. Mpango halisi wa Elohim kwa mwanadamu ulikuwa upi? Mwanzo 1: 26-28; Zaburi. 8: 4-8.
2. Katika wakati wa sasa, matajiri hufanya nini? Yakobo 5: 1-3.
3. Huwa Wanawezaje kujipatia utajiri huu wote? Mstari wa 4, sehemu ya kwanza.
4. Wanaishije? Mstari wa 5.
5. Ingawa hivi ndivyo ilivyo, Watakatifu wa aliye juu wana fanaka gani? 3 Yohana 2.
6. Ni kupitia nini Baba wa Mbinguni hupima (na kutujazia) mahitaji yetu? Wafil. 4:19.
7. Ni kiasi gani cha utajiri wa dunia, kinacho milikiwa na Baba wa Mbinguni? Zaburi. 24: 1, 50: 10-12; Hag. 2: 8.
8. Daudi alitoa ushahidi gani kutokana na aliyokuwa amepitia? Zaburi. 103: 1-3.
9. Ni mazungumzo gani yanayodai kwamba ni rahisi kuponywa kama jinsi ilivyo kuokolewa? Mat. 10: 7-10.
10. Ni huduma gani mbili zilizotolewa kwa Wanafunzi na Bwana Yahshua Masihi? Mat. 10: 1, 7, 8.
11. Ni maandiko gani mengine yanaonyesha kwamba uponyaji na msamaha wa dhambi huambatana? Yakobo 5: 13-16.
12. Kama tuna mambo haya matatu sasa, tutarajia nini baadaye? Mika 4: 8.
13. Ni kwa njia gani Yahshua Mwana wa Elohim mwenyewe alihakikishia ahadi hii? Luka 12:32.
******************************
3 Fourth Month (6 July) 2019
UTIIFU WA MASIHI KWA ELOHIM – KUTESEKA KWA MASIHI KWA AJILI YA WOKUVU WETU
Somo Kuu: Isaya 53.
Fungu La Kukariri: Waebrania 2: 9, 10.
1. Masihi anafananishwa na nini katika kukua kwake? Isaya 53: 2.
2. Watu waliokwenda katika giza waliona nini? Isaya 9: 2.
3. Yahshua alichukua asili gani mwilini mwake wakati alipokuja duniani kuwakomboa watu wake? Waebrania 2:16.
4. Alitaka kufanywa kama nani? Mstari wa 17, 18.
5. Ni kwa nini aliitwa Yahshua? Mathayo 1:21.
6. Ni jina gani lingine alijipea mwenyewe? Yohana 10:11.
7. Ni kwa sababu gani Masihi alikuja ulimwenguni? 1 Timotheo 1:15.
8. Upendo wa Elohim kwa ulimwengu ulikuwa mkubwa kiasi gani? Yohana 3:16.
9. Ni zawadi gani Kubwa MMasihi hupata kutoka kwa Elohim kupitia Masihi? Warumi 6:23 (sehemu ya mwisho).
10. Ni nguvu gani iliyotolewa kuhusiana na dhabihu yake? Ilipeanwa kupitia nani? Yohana 10:17, 18.
11. Mateso ya Masihi yalikuwa mengi na yaliyotofauti tofauti? Isaya 53: 8-10.
12. Ni nani aliyefanya kaburi pamoja naye? Mstari wa 9.
Fahamu. - Masihi, aliye mfano wetu mkuu, alienda akifanya mema, na akateseka sana kwa ajili yetu, akatendewa vibaya, hata kifo, lakini alishinda mauti na akapaa Mbinguni, na anatuombea katika mkono wa kulia wa Elohim Baba. Wacheni tuwe na moyo wa kumtumikia katika kusaidia kuokoa mioyo iliyo ya thamani kwa sababu ya Ufalme Wake wa milele. Tuteseka kwa ajili Yake, hata kufa ikiwa itahitajika.
******************************
10 Fourth Month (13 July) 2019
MATESO YA BWANA WETU NA MWOKOZI YAHSHUA MASIHI
Somo Kuu: Isaya 53: 1-12.
Fungu La Kukariri: 1 Timotheo 1:15.
1. Ni kwa nini Yahshua alikuja ulimwenguni? 1 Timotheo 1:15.
2. Ni nini kilichomfanya Baba yetu wa mbinguni kuruhusu Mwanawe mwenyewe afe kwa ajili ya watu wenye dhambi? 1 Yohana 4: 9, 10; Warumi 5: 8.
3. Masihi Yahshua alijua kabla ya kuwa angechukiwa na kudharauliwa, na hatimaye kusulubiwa? Luka 18: 31-33.
4. Yahshua alijua yote yatakayompata, na jinsi angeweza kuteseka na kusulubiwa. Jinsi gani alikuwa tayari kupitia uchungu huu wote, aibu na mateso? Luka 22:41, 42; Mathayo 16: 21-23; 26: 37-39.
5. Uchungu wa nafsi yake ulikuwa mkubwa vipi, na ni nini kilicho mwongezea huzuni? Luka 22:44, 47, 48.
6. Ni kitendo gani cha Petro kilichosababisha kuongezeka kwa mateso kwa Mwokozi? Luka 22: 59-61.
7. Ni mambo gani ya dharau aliyofanyiwa katika nyumba ya kuhani mkuu? Luka 22:63, 64.
8. Ni ukatili gani Pilato aliomfanyia? Yohana 19: 1-3.
9. Ni matendo gani ya aibu alipokea kutoka kwa askari wa Kirumi? Mathayo 27:29, 30, 34, 41, 42.
10. Ni ombi gani la ajabu alilioomba kwa ajili ya watesaji wake wakati alipokuwa ameangikwa msalabani? Luka 23:34.
11. Ilikuwa inahitajika kwa Masihi kuteseka hivyo? Waebrania 2:10.
12. Katika kufuata mfano wa mateso ya Masihi, ni changamoto gani tumepewa? Warumi 8:31, 32.
******************************
17 Fourth Month (20 July) 2019
AGANO LA IBRAHIMU LILILOTHIBITISHWA
Somo Kuu: Mwanzo 49 .
Fungu La Kukariri: Mwanzo 49:10.
1. Ni pamoja nani Bwana alifanya agano lake lianzishwe hapo awali? Mwanzo 17:10.
2. Kwa wana kadhaa wa Abramu, ni nani ambaye agano lilifanywa imara tena? Mwanzo 26:24.
3. Isaka aliabudu nani? Mwanzo 26:25.
4. Ni kwa maneno gani Bwana alithibitisha ahadi ya Ibrahimu kwa Isaka? Mwanzo 26: 3, 4.
5. Kwa nini Elohim alithibitisha agano kwa Isaka? Mwanzo 26: 5.
6. Isaka alikuwa na wana wawili, ni nani ambaye alikuwa mbegu ya ahadi? Warumi 9: 10-14.
7. Ni kwa maneno gani Bwana alithibitisha agano na Yakobo? Mwanzo 28: 13-15; 35: 9-12.
8. Ni watoto wangapi waliozaliwa na Yakobo? Mwanzo 35:22.
9. Baraka za Yakobo juu ya wanawe kumi na wawili zilihusu matukio ya muda gani? Mwanzo 49: 1.
Fahamu. - Ahadi zilizopitishwa kutoka kwa Abramu, kwa Isaka, kwa Yakobo, zimegawanyishwa kati ya wana kumi na wawili, Yuda na Yosefu wakipokea ahadi zilizo kuu.
10.Mtoaji na Sheria na Mtawala (Mfalme) alikuwa atoke kwa kabila gani? Mwanzo 49: 9, 10.
11. Ahadi ni gani hasa katika agano la Ibrahimu? 22:17, 18.
******************************
© 2012 Church of Elohim 7th Day ~ Powered by Kenesiyahmessenger ~ Powered by wix